Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 17, 2015

Image result for birdman,lil wayne & jay z

Birdman na Cash Money Records wamemfungulia mashitaka Jay Z na mtandao wake wa kusambaza nyimbo wa TIDAL.
Birdman na Cash Money Records wamefungua mashtaka ya kutaka walipwe kiasi cha dilla millioni 50 na kampuni ya Jay Z.TIDAL kufuatia kampuni hiyo kujihusiha na utoaji,usambazaji na uuzaji wa albamu ya Lil Wayne, Free Weezy Album.
Baada ya kupata taarifa ya kufunguliwa mashtaka na madai,wasemaji wa kampuni hiyo ya TIDAL wamesema walifanya kazi na Lil Wayne baada ya kukamilisha taratibu za makubaliano.
Cash Money wanadai bado Lil Wayne ni msanii ambaye anamkataba nao kuhusu shughulu zote za muziki hivyo ni kosa kufanya kazi nje ya makubaliano na wamepeleaka madai hayo kisheria.
Lil Wayne alisaini na TIDAL mwezi June.


0 comments:

Post a Comment