Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 16, 2015



Image result for chris brown

Watu watatu wenye silaha wameripotiwa kuvamia jumba jipya la muimba mahiri wa muziki wa R&b,Chriss Brown.

Tukio hilo lilitokea katika makazi mapya ya Chris Brow huko Tarzana,San Fernando Valley vitongoji vya Los Angeles jana (July 15).

Watu hao watatu wenye silaha inasemekana walivamia jumba hilo lakini kwa bahati nzuri Chris Brown alikuwa zake nightclub.
Mtandaowa kidaku wa story za mastaa marekani,TMZ umeandika,shangazi wa Chris Brow alikuwapo nyumbani hapo wakati wa tukio zima na kayika kujiokoa alijifungia kwenye kabati la nguo.
Huu unakuwa ni uvamizi wa pili kwa mwaka huu kwa muimbaji huyo wa hit trackThis is the "Loyal" kwani miezi kadhaa iliyopita alivamiwa na mgeni wa kike aliyeingia nyumbani kwake na kupika,kula na kuketi akiwa mtupu.
Hii inamanisha hali ya ulinzi nyumbani kwa star huyo si ya kuridhisha.

0 comments:

Post a Comment