Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 16, 2015

Young Thug & Birdman Conspired To Kill Lil Wayne, Indictment Says

Birdman na Young Thug wametaja kuhusika na kusuka mipango ya kutaka kumuua rappa Lil Wayne.Birdman na Young Thug wametajwa kuhusika na tukio lililotokea hukoCobb County, Ga mwezi April la kushambuliwa kwa risasi basi lililobeba wasanii waaYoung Money
Jimmy Carlton Winfrey alikamatwa mwezi June kuhusiana na tukio hilo linalosemekana kupangwa na wanachama wa Blood gang kundi ambalo pia Jeffery Lamar Williams aka Young Thug,Lil Wayne na Bryan Williams aka Birdman ni wanachama.
Young Thug na Birdman bado hawajakamatwa wala kufunguliwa mashtaka ila rappa Young Thug alikamatwa siku ya jumatano kufuatia tukio la kumtishia bunduki usoni mlinzi wa mall ambapo alifunguliwa mashtaka ya makosa 6.
Winfrey was indicted in June on six charges—aggravated assault, terroristic threats and acts, criminal damage, possession of a firearm by a felon, criminal gang activity, reckless conduct, and discharging a weapon near the street.
Hili ni jipya katika muendelezo wa beef kati ya Birdman na Lil Wayne japo siku ya jumapili lilitokea tukio la Cash Money boss kummwagia kinnywaji kichwani Lil Wayne alipofanya club appearance katika club ya LIV nightclub huko Miami. Wayne alimfungulia mashtaka Birdman ya kutaka alipwe dolla millioni 51 na ajitoe Cash Money Records.

0 comments:

Post a Comment