Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 14, 2015




Ikiwa zimepita siku chahche tangu kitokee kifo cha mmoja waliokuwa wakiunda kundi aliloliunda Tupac la Outlawz Hussein Fatal,wana Hip Hop wameendelea kumkumbuka hayati Tupac Shakur ambaye aliuwawa mwaka 1996 kwa kupigwa risasi alipokuwa akitokea kuangalia mpambano wa masumbwi kati ya m babe wa ndo kipindi hicho,Iron Mike Tyson dhidi ya .....
Rapper Eminem amemuandikia barua ya mkono mama wa hayati Tupac, Afeni Shakur na katika barua hiyo Eminem amefunguka na kusema kwamba Tupac alikuwa msukumo mkubwa sana kwake kuingia katika Hip hop kuanzia mistari yake ya kiombozi,uigizaji wa filamu mpaka mtindo wa maisha,na mwsho amekilio kwamba Tupac alikuwa greatest na kumsifia hadi mama yake mzazi,Afeni Shakur.Eminem amekili kwamba kabla ya kukutana hata na Dre na kuwa rappa maarufu,alikuwa akitaka kuandika lazima kwanza amsikilize Tupack ndipo apate mizuka .
Barua hiyo itakuwa ni sehemu ya mapambo ya kumbukumbu zitakazowekwa katika jumba la kumbukumbu za sanana za Tupac, Tupac Amaru Shakur Center for the Arts lililoanzishwa mwaka 1997 na Afeni Shakur.

0 comments:

Post a Comment