Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, August 6, 2015

Image result for Nicki Minaj,Chris Brown,Justin Bieber,Meek Mill
Jana (August 5), rapa Meek Mill amefunguliwa mashitaka na mmiliki wa nyumba aliyokodisha rappa huyo huko Beverly Hills kwa kufanya sherehe wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za Grammy.Mmiliki wa nyumba hiyo alipata taarifa za kufanyika pati hiyo alimuonya mpangaji wake ambaye ni Meek Mill kwamba hata kama anafanya sherehe nyumba yake hiyo hawaruhusiwi wageni zaidi ya sita kwa wakati mmoja lakioni Meek alikaidi agizo hilo na kufanya sherehe na kualika idadi kubwa ya watu katika nyumba hiyo na baadaye kusababisha uharibifu mkbwa kama anavyodai mmiliki wa nyumba hiyo.
Mmmiliki huyo anasema amefikia hatua a kumfungulia mashtaka Meek baada ya rapa huyo kukwepa kuzungumza na mmiliki huyo wayamalize.
Mastaa Justin Bieber, Khloe Kardashian, French Montana, Chris Brown na Nicki Minaj wametajwa katika kesi hiyo kwani alihudhuria sherehe.

0 comments:

Post a Comment