Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, September 7, 2015

50 Cent Preparing African Residence
Jumba langu linakaribia kumalizika huko AFRICA,ndicho alichoandika rappa 50 Cent katika akaunti yake ya Instagram na kuongeza kusema "I'm gonna have the craziest House warming party ever.I'll explain later. I got a good life Man.” akimaanisha atafanya parti kabambe za ufunguzi zaidi atatufahamisha baadaye ila anaamini atakuwa na maisha mazuri Africa.
Wengi wamehusiha kuhama kwa 50 Cent na hali yake ya sasa kama ilivyotangazwa mwezi July kwamba amefilisika.
\Taarifa zaidi zinasema rappa 50 Cent amemtaka wakiloi wake kumtangaza amefilisika na anakabiriwa na madeni kama ya umeme,gesi,watu wa taka,Tv cable, Internet na hata huduma za simu katika jumba lake la ukubwa wa skwea 50,000.

0 comments:

Post a Comment