Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 26, 2015

1023-chris-brown-nia-royalty-INSTAGRAM-GETTY-01

Chris Brown na Nia Guzman ambaye ni mama wa mtoto Royalt wanapepea bendera nyeupe  kuonesha kwamba wamemaliza salama tofauti zao kuhusu haki ya malezi ya binti yao.
Mtu mmoja wa karibu na Chris Brown na Nia Guzman amesema wawili hao waliamua kukaa chini na kuongelea namna ya kumaliza tofauti zao na kufikia muafaka wa kupeana haki sawa za kumlea mtoto wao huku wakikubaliana kuanz kumpeleka mtoto Royalty kustarehe,kuogelea,madarasa ya kucheza nk.

0 comments:

Post a Comment