Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 30, 2015

 
Gazeti la New York Post, limeandika,muimbaji Rihanna alikuwa katika maongezi kwa takribani miezi saba na wamiliki wa bidhaa za Samsung.
Meneja wa Jay Z na Rihanna, Jay Brown amesaidia Rihanna kukamilisha dili hilo.Mwanzoni mwa mwezi huu rapa Jay Z alipigwa picha akitoka katika jengo la Samsung na minongono ikaanza labda anataka kuiungia nao dili la kampuni yake ya kuuza na kusambaza muziki ya TIDAL,lakini badaye ikajulikana alikuwa akikamilisha dili la Rihanna.
Samsung watashiriki na Rihanna katika kuzitangaza bidhaa za Samsung Galaxy .
Ikumbukwe pia Roc Nation ina history nzuri ya kibiashara na kampuni ya Samsung kwani mwaka 2013 kampuni hiyo walishiriki kuipromotr albamu ya Jay Z Magna Carta… Holy Grail na walinunua nakala millioni moja.
Rihanna amepata dili hilo japo bado hajatangaza tarehe rasmi ya kuiachia albamu yake ya nane aliyoipa jina Anti japo ameahidi ataitoa kabla ya mwisho wa mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment