Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 30, 2015

 
DMX matatizoni tena,na maa hii ni kwa kosa la kutopeleka matumizi ya  watoto.

Dark Man X alikamatwa na polisi huko Westchester County,kwa kosa la kutotimiza wajibu wa kupelekam matumizi ya watoto wanne kwa mke wake aliyemtalaka,Tashera Simmons .
Jarida la USA Today,walaka wa kukamatwa rapa DMX ulitolewa mwezi July wa kumtaka alipe 10,000 kwa mwezi.
X alitoka jela mwezi September baada ya kutumikia kifungo cha miezi miwili kwa kosa kama hilo ambapo alitakiwa kulipa $400,000.

0 comments:

Post a Comment