Sauti Sol ni kundi ( band ) la muziki wa kizazi kipya lenye mafanikio makubwa nchini Kenya lililoanzishwa Nairobi mnamo mwaka 2005.
Kundi hilo la afro-pop linaundwa na wasanii wenye sauti za kuvutia Bien-Aimé
Baraza, Willis Chimano na Delvin Mudigi na baadaye akajiunga mpiga gitaa Polycarp Otieno.
Kuhusu malipo anayolipwa meneja wao bwana Marek Fuchs,akiongea na mtangazaji Jackson Bikokatika kipengele cha Business Daily,Marek Fuchsamesema kundi hilo linatoza kiasi shilingi millioni 1.5 mpaka millioni 2.0 kwa onyesho na kundi hilo hufanya kuanzia maonyesho 10 kwa mwezi siku za kawaida na mwezi wa 12 hufikisha hadi maonyesho 20 kwahiyo hujiingizoia hadi millioni 40 za Kenya.Ke shs 1= TZ 21
Ukiondoa gharama zote hapo kila mwanachama hupata mgao sawa.Hii nitofauti na awali kabla hajaja meneja walikuwa wakilipwa 150,000.
0 comments:
Post a Comment