Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, October 13, 2015

 

"I guess I'm really a rap nigga now," Hicho ndicho alichoandika rappa Teriq Royal wa Compton baada ya kuposti kipande cha video kikimuonyesha akivuja damu kichwani na usoni baada ya kushambuliwa kichwani na bundiki aina ya AK-47.


Rappa Royal toka Compton alionekana akivuja damu nyingi huku akisema:  "I just got shot. Me and my soldiers out here,"
Rappa Royal toka Compton pia alipost picha ya  X-ray yake inayoonyesha matundu makubwa matatu ya risasi katika fuvu,kwa bahati nzuri risasi hazikufika katika ubongo.

0 comments:

Post a Comment