Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, October 13, 2015

Image result for tupac
Je 2Pac alikuwa anajua kwamba anaelekea kufa? ndiyo swali kubwa wengi wanaomjua walijiuliza kwani alifanya mengi katika kipindi kifupi.
Ktaika kipindi cha miezi 11 yaa October 1995 alivyotolewa jeal na Suge Knight na kusainiwa katika lebo yake ya Death Row Records mpaka mwezi September 1996 alipouliwa kwa kushambuliwa kwa risasi
 ’Pac alimaliza albamu zake 2 kwa kuwa na nyimbo zaidi ya 27 albamu ya All Eyez on Me,ambapo nyimbo zingine ziliondolewa,alifanya video zaidi ya 12 pia alishiriki katika filamu 3 za Bullet, Gridlock’d, na Gang Related ambazo zote zilitoka baada ya kifo chake.

0 comments:

Post a Comment