Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, October 15, 2015



T.I. ameongelea mtazamo wake aktika siasa,T.I ameongelea hayo wakati akihojiwa na DJ Whoo Kid katika radio kipindi cha Shade 45,rappa T.I amesema hatomsaport mgombea wa uraisi wa kike wa amrekani,bi Hillary Clinton.
T,II amesema moja kati ya sababu zitakazomfanya asimsapport mama Clinton ni,si muonekano wala urembo wake bali hawzi kuthubuthu kumsaport mwanamke kuongoza taifa kubwa kama marekani labda apatiwe cheo kingine katika ngazi yeyote.
T.I pia aliulizwa kama atampigia kura rappa mwenzake Kanye West kama atagombea kwama 2020,akajibu hapana,yeye ni mfanya biashara.
 Kmama haitoshi T.I amesema pia hatomchagua mpinzani wa kiti hicho cha urasia wa Clinton,bw Donald Trump,kwa sababu amesema ni m baguzi.

0 comments:

Post a Comment