Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 19, 2015


 Snoop Dogg’s Birthday Party Canceled After Fire Erupts
Pati iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 44 Snoop Dogg’ilizimwa mapema baada ya pahala ilipopangwa kufanyika kuungua kwa moto.
Pati hiyo ilipangwa kufanyika katka ukumbi wa Heat Ultra Lounge,California siku ya ijumaa (October 16).
Pati hiyo iliingia dosari baada ya mapambo ya Halloween yaliyowekwa kwemye paa kupata joto na kusababisha moto uliopmba na kutaka kuteketeza club nzima.Taarifa zaidi zinasema pati hiyo ililkuwa ihudhuriwe na watu zaidi ya 600.
Mtu wa karibu na Snoop Dog ambaye tarehe yake ya kuzaliwa ni Oct 20 amesema pati hiyo itafanyika tena japo hawajajua lini na wapi.

Calvin Cordozar Broadus, Jr, best known by his stage name Snoop Dogg, is an American rapper and actor from Long Beach, California. Wikipedia
Born: October 20, 1971 (age 43), Long Beach, California, United States

0 comments:

Post a Comment