Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, October 2, 2015

 LeBron James' Sons Are Modeling for Diddy
 Waswahili wanasema maji hufuata mkondo,hayo yamejidhihirisha baada ya habari kuhusu watoto wa star wa mpira wa kikapu Lebron James' kushiriki katika kampeni za mavazi mapya ya Diddy.
James alipaza habari hiyo na picha ya wanawe wakiwa wamepozi katika tangazo la mavazi mapya ya Diddy ya Sean John 'Dream Big' nakuandika :"Proud father moment right here. These young men look good."
Watoto hao wawili Lebron Jr. na Bryce wameshiriki kama wanamitindo wapya katika kampeni hiyo mpya ya mavazi ya Sean John.

0 comments:

Post a Comment