Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 5, 2015

 
Juzi (Oct 3), Amber Rose alimaliza kwa mafanikio maandamano yake huko Los Angeles.
Amber Rose alisimama mbele ya umati wa watu na kuhutubia hotuba ambayo baadaye ilimpelekea kumwaga chozi.Rose aliongelea namna gani anavyoumia pale waliokuwa wapenzi wake,Kanye West na Wiz Khalifa wakimuongelea vibaya yakiwamo maneno ya kwamba alikluwa mshereheshaji wa vilabu vya usiku ( Striper ) na mengineyo,ni ngumu kuwasemehe watu hawa.
Amber Rose huku akimwagikwa na machozi alisema: I want to forgive Kanye about what he said about me,” I want to let all of that negativity go. ikumbukwe West aliwahi kumuongelea vibaya Rose katika moja ya mahojiano na katika radio show. “
”Rose pia amesemaamemsamehe aliyekuwa mpenzi wake na baba wa mtotot wake mmoja,Wiz Khalifa, 28, ambaye ana mtoto naye wa miaka 2, Sebastian, Wiz Khalifa ndiye aliyemuita Rose ''nothing but a stripper katika moja ya nyimbo zake.

0 comments:

Post a Comment