Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 5, 2015

50 Cent Blames ‘Empire’ Ratings Drop on Too Much ‘Gay Stuff’

50 Cent amelaumu kile ambacho kinaendelea katika sehemu ya pili ya tathilia inayopendwa zadidi kwa sasa ya “Empire’s”,huku akisema iezidisaha kuhusisha mambo ya kishoga.
Kupitia akunti yake ya Instagram 50 Cent aliandika na kuufuta ujumbe usemao:Vipindi vya Televisheni ya Fox  tu kwasababu wanwashirikisha mastaa wa kawaida na wanapromote mambo ya kishoga.Tamthilia ya Empire inatazamwa na watu zaidi ya millioni 3 hivyo si sawa kupromote maswala ya ushoga.
50 Cent pia amemtaka mmoja wa waigiza katik atamthilia hiyo, Taraji P. Henson‘ampigie amsaidie.
Ikumbukwe hapo awali 50 Cent amewahi kulaumu kwamba tamthilia ya Empire  wamenakili idea yake ya kipindi cha drama cha mastaa cha “Power,”.

0 comments:

Post a Comment