Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 5, 2015

 
Wakati wewe unatumia mtandao ya kijamii kutuma chips kuku,miguu yako minene,na picha za kujibinua wenzako wanatumia mitandao hiyohiyo kujiingizia mkwanja mrefu na kuboresha maisha .
Rappa Snoop Dogg ni hip hop legend na mmoja wa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii lakini anaweza kuwa na cheo na kazi nyingine itakayomuingizia kipato kikubwa.
Mtandao wa Buzzfeed,umeandika mabosi wa mtandao wa kijamii wa Twitter wamemtaka Snoop Dogg wafanye naye kazi na ikibidi wampatie nafasi za juu kama   ( cHIEF executive officer) CEO wa mtandao huo.
Akiliongelea swala hilo Snoop Dog amesema:
“I just was in agreement with them. I never woke up and said I want to be the CEO of Twitter. I’m the CEO of Snoop Dogg. That’s bigger than anything so it’s just them saying they wanted to have me on their team because they felt like I can give them flavor that they’re missing."
Snoop amesemamoja kati ya sababu za mabosi wa Twitter kutaka kufanya naye kazi ni kwamba yeye ni mshabiki na mshiriki mkubwa mtandao huo.

0 comments:

Post a Comment