Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, October 7, 2015


Jay Z & Beyonce Renting LA Mansion For $150,000 A Month
 Jay Z na mkewe Beyonce ambao walikuwa wakitajwa kuwa ni ma homeless bada ya kutakiwa kuondoka katika jumba walilokuwa wakiishi awali,wamekodisha jumba la kifahari huko Los Angeles linalotajwa kuwagharimu dola za kimarekani millioni 45 wakilipa kiasi cha dolla 150,000 kwa mwezi.Jay Z na mkewe Beyonce wamekodisha jumba hilo la kifahari linalomilikiwa na bilionea la kingereza  ambaye hutumia jumba hilo kama sehemu ya mapumziko yake ya muda mfupi kwa likizo.
Tazama sehemu ya picha za mjengo huo hapo chini:
Jayz-bey-home03-480w


Jayz-bey-home09-480w
 Jayz-bey-home02-480w

0 comments:

Post a Comment