Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 10/02/2015 02:50:00 AM
No comments
Usiku wa juzi kuamkia jana yaa sept 30,ulikiwa usiku wa kihistoria kwa rappa Na.
Nas amekuwa rappa wa kwanza katika historia kutunukiwa tuzo ya W.E.B. ( William Edward Burghardt " was an American
sociologist, historian, civil rights activist, Pan-Africanist, author
and editor. ) katika sherehe za utoaji wa medali za heshima huko katika chuo kikuu kiubwa cha Harvard University (September 30).
Nas ni rappa wa kwanza katika historia kutunukiwamedali hiyo ya heshima kwa mchango wake kwa jamii katika maswala ya utamaduni,sanaa na haki za binadamu sambamba na mchango katika vituo vya sanaa na tamaduni za kiafrica na jamii za Kiafrica na American.
Mwaka 2013 chuo cha Harvard walimtunuku Nas kwakuanzisha somo la Nasir Jones Hiphop Fellowship.
Rapa Nas ametunukiwa medali hiyo ya heshima kutokana na kutoa nyimbo nyingi zenye kufundisha jamii,mafunzo ya kuwajengea kujiamini watoto na vijana.
0 comments:
Post a Comment