Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, October 7, 2015


 Ikiwa ni miaka 12 tangu itoke filamu ya Bad Boys,Will Smith ametangaza makubwa kuhusu kurejea katika muziki na kufanya ziara na mshikaji wake wa siku nyingi DJ Jazzy Jeffk na kama haitoshi atafanya sehemu ya 3 ya muendeleza wa filamu zilizopendwa sana za Bad Boys.
Ni mika 12 imepita tangu filamu ya Bad Boys itoke na sasa tayari kampuni ya Sony wamethibitisha kuwa kutakuwa na part 3 na 4 huku kukiwa na mbadilikokwamba director wa mwanzo Michael Bay hatokuwapo.
Katika kudhihirisha hayo Will Smith aliongea na mtangazaji  Zane Lowe katika Beats 1 radio kwa kusema:

“There is a very, very, very strong possibility that you will be seeing a ‘Bad Boys’ within the next 12-16 months.”

0 comments:

Post a Comment