Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 12, 2015

 
Tuzo za mwaka 2015 zinazotolewa na jarida la muziki wa kiafrika zilifanyika juzi katika ukumbi wa the Academy of Black Letters huko Dallas, Texas.
Namba kubwa ya wasanii mahiri wa Africa na Nigerian akiwamo Davido, Yemi Alade, na Kcee walitumbuiza katika sherehe za utoajiwa tuzo hizo za AFRIMA 2015.

 Tazama orodha ya washindi wa tuzo hizo hapo chini:


Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N’Dou

0 comments:

Post a Comment