Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 12, 2015


 

Rappa Wiz Khalifa alijikuta matatazoni baada kukamatwa akijisaidia hadharani haja ndogo  (October 10).

Msemaji wa manispaa tukio lilipotokea ,Sonya Toler amesema rappa huyo alikutwa akijisaidia haja ndogo nyuma ya bar moja maarufu inayofahamika kwa jina la The Flats bar huko Pittsburgh mida ya saa 8 za usiku.
Kabla ya tukio hilo
Wiz Khalifa alitokea kutumbuiza katika tamasha la chuo kikuu cha University Pittsburgh's Midnight Madness basketball event Friday (October 9).
Kufuatia tukio hilo rappa Wiz Khalifa alipigwa faini na kuachiwa.

0 comments:

Post a Comment