Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, January 31, 2016

Tokeo la picha la CHRIS BROWN'S BABY MAMA AND LOYALTY

baby mama wa Chris Brown,Niaz Guzman amemshushia mvua ya lawama Star Chris Brown kwa kusema anamfundisha mtoto mambo mabaya na kama haitoshi amemlaumu kwa kumsababishia mtoto uginjwa wa Athmas kwa kile alichokidai kwamba huwa anavuta bangi na sigara ndani ya nyumba hivyo inamuathiri mtoto.
Nia ameongeza kusema mara zote mtoto akirudishwa na Chris Brown amekuwa na matatizo yanayotokana na moshi.
Nia amepanga kumzuia Chris Brown kumtembelea na kumchukua mtoto huyo ikiwa ni pamoja na kumtaka hakimu kumlazimisha kumfanyia vipimo vy madawa ya kulevya star huyo 
Nia huwa anapatiwa kiasi cha dola 2500 kwa mwezi ajili ya matumizi na mahitaji ya mtoto na yupo katika mkakati wa kutaka aongezewe.

0 comments:

Post a Comment