Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 1, 2016



Japokuwa ametajwa kuwania tuzo katika kipengele kimoja,star Chris Brown ameonyesh kutofurahia mchakato mzima wa tuzo za Grammys 2016.
Chris Brown kupitia akaunti yake ya Twitter siku ya ijumaa alishusha mvua ya vijembe kwa na kuonesha hisia zake kuhusu sherehe za tuzo hizo mwaka huu.
Chris Brown aliandika:
“#GRAMMY? This is probably the main reason I love being free to create any kind of music I want,” he wrote. “Too many people kiss a– and work less.”
Chris Brown ametajwa kuwania tuzo katika kipengele kimoja tena katika wimbo wa kushirikishwa '' “Only” akiwa na mastaa Nicki Minaj, Drake na Lil Wayne.
Rapa Kendrick Lamar ametajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele 11 akifuatiwa na waimbaji Taylor Swift na The Weeknd ambao wamefungana kuwania tuzo 7.
Brown ambaye ana hstori na sherehe za tuzo za Grammys,ametajwa kuwania tuzo hizo mara 15 na ameshawahi kuchukua tuzo ya R&B album mwaka 2012 albamu ya “F.A.M.E.” na ikumbukwe hata siku ya tukio la kumpiga na kumjeruhi aliyekuwa girlfriend,Rihanna mwaka 2009 alikuwa njiani kuelekea katka sherehe za tuzo hizo.
Pamoja na kutofurahishwa na mwenedo wa tuzpo hizo,Brown amepata nafasi ya kuwashukuru mashabiki wake kwa kuandika: I’m thankful to my fans, I am able to be the best I can without having to confirm to the ways of my peers,”
Sherehe za tuzo za Grammy 2016 zitafanyika Feb. 15.

0 comments:

Post a Comment