Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 19, 2016


Chris Brown alijiingiza matatizoni wiki hii baada ya yeye na marafiki zake kukiuka masharti ya rubani wa  ndege.

Chris Brown na marafiki zake walikuwa ndi  ya ndege taari kwa safari kuelekea Cannes hukohuko Miami,wakati rubani akijiweka sawa kuanza na safari,Chris Brown na marafiki zake wakaamua kuwasha vitu kujiweka sawa ,bwana rubani aliwakataza lakini majamaa waliendelea ndipo taarifa zinasema kwamba rubani huyo alipoamua kutoa taarifa kwa uongozi wake uliochukua uamuzi wa kuta wna usalama.
Wana usalama walifika eneo la tukio na kuambiwa kilichojiri ndipo walipomgeukia Brown na kumsikiliza,brown na marafii zake walisema rubani ndiye aliyekuwa akivuta bange hiyo na siwao.
Baada ya majibzao ya ubishi kuendelea,wanausalama waliamua Brown na marafiki zake wasisafiri na ndege hiyo japo hawakuwatia nguvuni.

0 comments:

Post a Comment