Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 19, 2016

Tokeo la picha la Lil Kim & Faith Evans
Lil Kim & Faith Evans watangazwa kumaliza Beef lao.
Faith Evans amedhihirisha hayo pale alipotuma katika mtandao wa Instagram kipande cha video akiwa yeye na Lil Kim.
Kipande hicho cha video kinadhihirisha yale waliyoyasemamastaa hao miezi kadhaa kwamba wameweka tofauti zao pembeni na sasa wapo poa.
Ndani ya vido hiyo anaonekana Evans akidance sambamba na Kim huku ma mc hao wa kike toka  New York City wakirap ngoma ya Biggie "Get Money,"ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya onyesho la e Bad Boy Family Reunion Tour.
Faith na Kim  walianza kuonyesha dalili za kumaliza tofauti zao pale wawili hao walipokutanisha katika tamasha la kituo cha redio cha Hot 97 Tip-Off concert in New York City ambapo Faith alipiga picha na Lil Kim na kuipost katika ukurasa wake wa Instagram .
Lil Kimna Faith Evans watatumbuiza katika maonyesho ya  Bad Boy Family Reunion Tour sambamba na wakali kama Ma$e, Puff Daddy, The Lox, na French Montana.

0 comments:

Post a Comment