Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 31, 2016

Chris Brown Sued For "Stealing" Fan's Hat

Shabiki mmoja wa muziki amefungua mashataka kwa Chris Brown na timu yake kwa kile alichokisema walimchukulia kofia yake na hawakumrejeshea.
Shabiki huyo aliyefahamika kwa jina la Marq Stevenson amesema alimpatia kofia yake mmoja wa watu wa timu ya Chris Brown ili kofia yake isainiwe na muimbaji huyo lakini haikurejeshwa.Tukio hilo lilitokea mwaka 2015 katika onyesho la muziki huko Dallas, Texas.
Shabiki huyo aliyefahamika kwa jina la Marq Stevenson amefungua mshataka na kutaka Chris Brown na timu yake wamlipe kiasi cha dola za kimaekani 2,750 na kuchanganua kwamba dola 25 za manunuzi ya kofia,dolla 225 ya manunuzi ya tiketi ya inyesho na dola 2,500 za kujiliwaza kwani aanahisi amedharauliwa na kunyanyaswa.
.

0 comments:

Post a Comment