Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 31, 2016

Runtown
Muimbaji mahiri wa mitindo ya Afro pop na hit maker wa masongi makali kama Bend Down Pse,Walahi na pia alishiriki kunogesha wimbo Sweety sweety ya msanii wa Bongoflava Chegea,mefunguliwa mashtaka na record label inayomsimamia inayofahamika kwa jina la Ericmany Limited katika mahakama huko Lagos,Nigeria.

Taarifa zaidi zinasema mahakama imemtaka muimbaji mahiri wa mitindo ya Afro pop,bwana Douglas Jack-Agu aka Runtown kutotumbiza katika tamasha wala onyesho lolote bila ruksa toka kwa uongozi wa lebo ya Ericmany Limited.
Runtown ambaye yupo chini ya Ericmany Entertainment label ambayo inamiliki kazi zake zote zammuziki aliburuzwa mahakamni baada ya kuripotiwa kufanya maonyesho mbalimbali ya muziki bila kuutaarifu uongozi wakena kuzuia mkwanja wote wakati kampuni hiyo iliwekeza mamlilioni ya pesa.


0 comments:

Post a Comment