Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 30, 2016

Kanye West's Office Broken Into
Rapa na m bunifu wa mitindo,Kanye West ameripotiwa kuvunjiwa ofisi na kuibiwa vifaa kama laptop na desktop computers.
Taarifa zaidi zinasema watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi,walivunja milango na kuingia katika ofisi hiyo ya Kanye West iliyopo Calabasas Californiana kuiba vitu mbalimbali vikiwemo laptop na desktop computers  vinavyotajwa kuwa na thamani ya dolla za kimarekani 20,000.

Upande wa timu ya Yeezy umesema tayari wamesharudishia kila kitu na wanashukuru wezi hao hawakuharibu mipango ya mawasiliano.computers and the information was not hacked. It believes that the robbery was an inside job.
Hiis i mara ya kwanza kwa Kanye West kuibiwa vifaa vyake kwani hata ukisikiliza katik albamu
The Life of Pablo cut wimbo "Real Friends," raoa huyo ameongea kuhusu cousin wake kumuibia ambayo ilikuwa na sex tapes ndani yake na ilim bidi ailipie dola 250,000 kuigomboa.

0 comments:

Post a Comment