Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 27, 2016

Tokeo la picha la t.i. and troy ave
Polisi wa mjini New York City, wanamshikilia rapa Troy Ave kufuatia tukio la kurindima risasi katika onyesho la rapa T,I kulikopelekea mtu mmoja kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.

Taarifa kutoka katika akaunti ya Twitter ya NYPD zinasema polisi wa Polisi wa mjini New York wanamshikilia rapa Troy Ave tangu jana (May 26) baada ya kupata taarifa kwamba alijifyatulia risasi mguuni kwa bahati mbaya akiwa backstage katika onyesho hilo la T.I. concert lililofanyika (May 25) katika ukumbi wa Irving Plaza hivyo amefunguliwa mashataka ya kusababisha kifo.
Police wanasema wanasubiria vipimo wajiridhishe kama kweli bastola ya rapa Troy Ave ndiyo iliyotumika kuua kwani anayetajwa kuuawa ni mtu wa karibu sana na rapa huyo anayefahamika kwa jina la  Ronald “Edgar” McPhatter.
Polisi wa mjini New York City pia wamesema kipo kipande cha video kinachoonyesha rapa Troy Ave akiingia backstage iliyokuwa na watu  wengui wanaume kwa wanawake na kuanza kufyatua risasi
Rappa Maino ambaye alitumbuiza kama msanii mfunguzi wa tamasha la T.I.alitajwa kuhusika na tukio hilo kwa kile kilichosemekana kwamba alikuwa na beef na rapa Troy Ave lakini mwenyewe amekana kuhusika.

Kufuatia tukio hilo rapa T,I ametuma salamu za pole kwa wote walioathirika kwa kuandika ujumbe huu hapo:

“My heart is heavy today,” ,Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered and my prayers are with all those injured.”
“My heart is heavy today,” writes the 35-year-old Bankhead rapper. “Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered and my prayers are with all those injured.”

Read More: T.I. Sends Condolences To Those Effected By New York Irving Plaza Shooting - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/05/t-i-sends-condolences-irving-plaza-shooting/?trackback=tsmclip

0 comments:

Post a Comment