Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 26, 2016

 Shooting At T.I. Concert Leaves One Dead, Three Injured

Onyesho la rapa T.I.jana may 25 huko New York liliingia dosari na kumalizika baada ya kutwaliwa na milio ya risasi iliyopelekea vifo na hata kujeruhi wengine.
Katika onyesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Irving Plaza na kuwashirikisha wasanii kama Anderson .Paak na Uncle Murda,inataarifiwa mtu mmoja aliuwawa na wengine wanne kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali.
Rappa Troy Ave pia ameripotiwa kuwapo katika tukio hilo na kujeruhiwa na risas.

0 comments:

Post a Comment