Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, June 8, 2016

Jay Z, Tiwa Savage, Don Jazzy 
Kumekuwa na habari iliyosambaa kwamba muimbaji mahiri toka lebo ya Mavins,Tiwa Savage kuwa yu mbiono kusaimniwa na lebo kubwa duniani inayomilikiwa na rapa Jay-Z,Roc Nation.
Bosi wa Mavins Records ya Nigeria,Don Jazzy na muimbaji wake Tiwa Savage wamekutana na Jay Z katka makao makuu ya Roc Nation huko mjini New York.
Taarifa zaidi zinasema kwamba dili hilo limeonyesha muelekeo wa kukamilika tangu ndugu wa Jay-Z’ bw Brian “Bee-High” Biggs atembelee makao makuu ya studio za Mavin huko Lagos Nigeria mwaka jana.

Tiwa Savage ambaye kwasasa yupo katika mchakato wa kuitangaza albamu yake ya "R.E.D" pia ametajwa kutumbuiza katilka tamasha la Made in America mwezi September,ambapo Rihanna iametajwa kuongoza onyesho hilo kwa mwaka huu.
Tiwa Savage ikiwa atasainiwa Roc Nation yenye ofisi kubwa mijiniNew York, London na Los Angeles,atakuwa ameungana katika familia ya mastaa kama Rihanna, Big Sean, DJ Khaled, Kanye West na wakali wengine kibao.

0 comments:

Post a Comment