Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, June 16, 2016

 Ron Galella, Getty Images


Tupac amepewa heshima ya kipekee huko Oakland ambapo imetajwa kwamba wakazi wa mji huo wamepitisha siku ya tarehe 16 June ambayo ni birthday ya rapa huyo kuwa Tupac Shakur Day.
Uamuzi huo umepitishwa na unatambulika kisheria baada ya kupitishwa na mwanasheria wa hip-hop, advocate LeRoy McCarthy.
Meya wa mji wa Oakland,Libby Schaaf amesema wamepitisha June 16, kama Tupac Shakur Day kutokana na michango yake katika jamii ya Oackland na inafahamika kwamba Tupac hakzaliwa Oackland lakini alikuwa anapaita nyumbani.
Tupac alizaliwa huko Harlem, New York City mwaka 1971 badaye wakaamia Baltimore, Maryland,  California.Oakland,” the proclamation from the Mayor’s office says. “Tupac once said: ‘…I give all my love to Oakland, if I’ma claim somewhere I’ma claim Oakland.”
Kutajwa June 16 kwa siku ya Tupac kumeambatana na siku ya June 15 ambayo watengenezaji wa kinywaji cha Sprite walitangaza kwamba katika matoleo yajayo watatumia baadhi ya mistari ya Tupac kama sehemu ya Obey Your Thirst collection.Mistari kama “Keep Ya Head Up,” “When We Ride” na “Wake Me When I’m Free” itatumika katika kampeni mpya za kinywaji hicho hivi karibuni.
Wasemaji wa kinywaji hicho wamesema “It’s important for us to have an artist like [Tupac] because of what he’s represented to music and the art form.
J. Cole na Missy Elliott pia watatumika katika kampeni hizo za 2016 ,mwaka uliopita ilitumika mistari ya Drake, Rakim, Nas na the Notorious B.I.G.


0 comments:

Post a Comment