Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, March 23, 2014

Beyoncé
Hitmaker wa “Drunk in Love” Beyonce anaendelea kuzibua mirija ya vyanzo vya mkwanja,ukiachia mbali dili za matangazo ya L’Oreal, Pepsi na H&M, Beyonce ameigiza kinara katika tangazo la kampeni la kiwanda cha Japan kinachotengeneza magari aina ya Toyota.                                                                         Katika tangazo hilo la sekunde 30 Beyonce anaonekana akianzia tangu utotoni

na michakato mbalimbali aliyopitia,present day,akicheza mwenyewe,akiandika mistari ya nyimbo “Survivor”katika bus na akiwa studio na The-Dream na mwisho anaonekana akitumbuiza mbele ya maelfu ya watu.
“Every day I wake up, I make a choice. Not to let the world decide for me. I decide to get going,” says Beyoncé.
Na haya ndiyo maneno yanayosikika katika tangazo hilo:
I had a choice to stand still,to let thins happen or to make things hapen,“Every day I wake up, I make a choice. Not to let the world decide for me. I decide to get going,

0 comments:

Post a Comment