Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, July 30, 2015



Image result for jay z and jerome boateng

Rappa Jay Z amemsaini soka star Jerome Boateng katika kampuni yake ya Roc Nation Sports inayojihusiha na maswala ya uwakala wa wanamichezo.Jerome Boateng anakuwa mchezaji mpira wa miguu wa kwanza kusainiwa katika kampuni hiyo ya rappa Jay Z inayojihusiha na uwakala wawanamichezo.Jérôme Agyenim Boateng ni mcheza soka mjerumani ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kilabu cha Bayern Munich kama mlinzi wa kati japo anawezo mkubwa a kucheza nafasi ya full back.Jerome Boateng alizaliwa tarehe 3 September 1988 (age 26)

Jerome Boateng alianzia maisha yake ya soka katika kilabu cha Hertha BSC2002  akaenda Humberge SV na baadaye kwenda
Uingereza ambako alichezea kilabu cha Manchester City mpaka mwaka 2011 alipochukuliwa na kilabu cha Bayern Munich.
Jerome Boateng ni mdogo wa Kevin-Prince Boateng, ambaye ansomeka kama Prince anayekipiga katika kilabu cha FC Schalke 04.Jerome na Prince Boateng ni watoto wa baba Mhana na mama Mjrumani,ambapo Jerome amefuata kwa mama na anachezea timu ya taifa ya ujerumani na Prince anachezea timu ya taifa ya Ghana.



0 comments:

Post a Comment