Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 14, 2015

50 Cent Files For Bankruptcy; Lawyer Issues Statement
Wakili wa Curtis Jackson aka 50 Cent ameandika hati ya utetezi kwa mteja wake akimtetea kuwa amefilisika kufuatia rappa huyo kutakiwa kumlipa mama wa mtoto wa kike wa rappa Rick Ross dolla millioni 5.Siku ya ijumaa (July 10) hakimu alimtaka rapaa  50 Cent kumlipa mama wa mtoto wa kike wa rappa Rick Ross,Lastonia Leviston kiasi cha dolla millioni 5 kufuatia kuusambaza mkanda mchafu wa mama huyo katika mitandao na kuuza kitendo ambacho kisheri si cha kibinadamu na cha kudhalilisha 
 Bosi huyo wa The G-Unit rapper imeripotiwa kudai ana mali za kawaida ambazo zinakadiliwa kuwa na thamani za dolla millioni 10 mpaka 50. 


0 comments:

Post a Comment