Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, December 15, 2015




Ule muedelezo wa matatizo kati ya rapa DMX na vyombo vya dola unazidi kurindima
Rapa huyo toka jiji la New York amepamba tena vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali na katika mitandao ya kijamii baada ya kushindwa kuhudhuria kesi mahakamani jana Dec. 14 kusikiliza muendelezo wa kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mkewe na mama wa watoto wake,Tashera Simmons,kesi ya kutotoa pesa za huduma kwa watoto iliyopelekea akafungwa jela miezi miwili na kuachiwa kwa masharti ya ya kutakiwa kulipa.
Baada ya rapa DMX kushindwa kuhudhuria mahakamni hakimu aliamuru akamatwe mara moja.
Baada ya kufungwa jela miezi miwili DMX aliomba aingie mitani kujitafutiza ili aweze kulipa huduma hizo ambapo pamoja na kukubaliwa ombi lake alitakiwa kufika tena mahakamani Dec. 14.
Taarifa zaidi zinadai rapa DMX alikuwa akitumbuiza huko Las Vegas katika kilabu moja inayofahamika kama Foxtail Nightclub.
Akimtetea mteja wake ambaye ni DMX,mwanasheria wa wa rapa huyo alimwambia hakimu kwamba walidhani tarehe ya kusikilizwa kesi ni Dec. 15.
Hakimu amesema tarehe 14 Dec ilipangwa kama raa huyo atashindwa kulipa basi watathmini mali zake kufidia deni kwa mama watoto wake huyo.
“It’s going to be really hard to perform at the Westchester County Jail,” Judge Marx said. “[He] sat here at the table and said, ‘If you let me go, I’m coming back.’ Well, he ain’t here. It’ll be interesting to see if TSA picks him up on a warrant.”






DMX‘s legal woes won’t be stopping anytime soon. The New York rapper missed a court date today (Dec. 14) for a hearing on paying back child support to his ex-wife Tashera Simmons according to Bossip. When DMX failed to show up to Westchester County Supreme Court, Judge Paul Marx issued a warrant for DMX’s arrest. DMX was already arrested in October for a contempt of court charge after his failure to pay his ex-wife.
After his October arrest, DMX told the judge he needed to be on the road to earn money. Judge Marx acquiesced, but let DMX know he need to be at his Dec. 14 court date.
Instead of showing up, DMX was in Las Vegas performing at the Foxtail Nightclub. DMX’s lawyer told the judge that DMX thought the court date was Dec. 15, but the judge wasn’t buying it.


Read More: DMX Misses Court Date, Judge Issues Arrest Warrant - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2015/12/dmx-misses-court-date-judge-issues-arrest-warrant/?trackback=tsmclip

0 comments:

Post a Comment