Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 17, 2015

Nicki Minaj To Perform In Angola Despite Human Rights Foundation Protest 

Nicki Minaj amethibitisha kuwa atatumbuiza kkatika tamasha lililoandaliwa huko Angola juamosi hii (December 19) japo kumekuwa na maneno ya ........kutoka kwa watu wa haki za binadamu.
The Queens,New York rapa,Nicki Minaj ama queen wa YMCMB aliposti ujumbe huo siku ya tarehe 16 december 2015  kuthibitisha kushirki na kutumbuiza katika tamasha hilo kwa kuandika kupitia mitandao wa instagram na Tweeter kwa kuandika:"ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can't wait to see u guys! Get your tickets here!"  akimaani " angola je mko tayari  kwa ajili ya shoo? nina hamu sana ya kuwaona siwezi hata kusubiri tafadhali pata tiketi yako mapema".
Nicki Minaj atatumbuiza siku ya jumamosi hii (December 19) katika tamasha maalumu la kusherekea sikukuu ya Christmas huko Angola,tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel. 




0 comments:

Post a Comment