Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, January 7, 2016


Wiki kadhaa zilizopita star wa muziki,Jacksonalitangaza kuahirishwa kwa ziara yake ya muziki ya  “Unbreakable World Tour” mpaka kipindi cha majira ya joto kufuatia kukabiliwa na upasuaji ambao hakuuweka wazi ni wa nini.
Baada ya Janeth Jackson kutangaza hayo kukatokea uvumi kwamba star huyo anakabiliwa na upasuaji wa koo kwa sababu amegundulika ana saratani ( cancer ).
Baada ya uvumi huo kusambazwa na mtyandao wa RadarOnline ,Janet Jackson kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kipande cha video cha dakika mbili amekuja na kuweka mambo sawa kwa kusema hana cancer ya koo na wala upasuaji huo hauusiani na hayo yaliyovumishwa.

Janet amesema amemaliza matibabu hivi karibuni ataingia mtaani kuendelea na ziara yake hiyo ya muziki
ambapo mwezi March 30 atatumbuiza Birmingham, U.K na kendelea mpaka May 3.

0 comments:

Post a Comment