Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, January 7, 2016

Suge Knight's Lawyer Claims Justice System Is Treating Client Unfairly

Suge Knight mpaka sasa yupo anasota katika jela ya wanaume ya huko Los Angeles kufuatia kesi yake ya kugonga na kukimbia (hit and run ) ya mwezi Januari mwaka 2015 katika set ya filamu ya Straight Outta Compton.Katika tukio hilo Suge Knight aliua mtu mmoja aliyetambulik kwa jina la Terry Carter na kuwajeruhi wawili.
Akifanya mahojiano na jarida la  The Wrap, mwanasheria wa Knight, Thomas Mesereau,amesema mteja wake hatendewi haki na vyombo vya sheria vinavyoendesha kesi yake.Bw Toham amedai mteja wake angukuwa akihudhuria kesi huku akiwa nyumbani lakingi wamemuwekea vikwazo vikubwa makusudi ahindwe kumudu,kwanini wamemtaka awekewe dhamanna ya thamani kubwa kama hii ya miliono 2.2.
Suge Knight anatakiwa kuhudhuria mahakamani February 26.

0 comments:

Post a Comment