Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, January 6, 2016


Tyga Responds To Allegations From 14-Year-Old Model Molly O’Malia That He Pursued Her On Social Media 
Akijibu mapigo juu ya kashfa ya kumchombeza binti mwanamitindo mwenye umri wa miaka 14,rapa Tyga amesema alihitaji kukutana ana kwa ana na binti huyo kumpima uwezo wake kimuziki ili ajue ataanzia wapi kumsaidia.
Meneja wa rapa Tyga, Anthony Martini, amesema Tyga alishawishika kutaka kukutana na binti huyo baada ya kikundi ambacho ni timu ya binti huyo kumtilia msisitizo kwamba anakipaji na anahitaji kusogezwa.
Meneja huyo wa Tyga amesisitiza kuwa makutano hayo yalipangwa wamuite studio aonyeshe uwezo wake mbele ya maproducer.
 Tazama chati kati ya Tyga na binti huyo hapo chini:

Tyga-Molly-O'Malia-Text1-2016-010516

Tyga-Molly-O'Malia-Text2-2016-010516

 Tyga-Molly-O'Malia-Text3-2016-010516

0 comments:

Post a Comment